Latest Inauma Song Download Mp3 By Bien 2022. New Hip Hop Song Inauma Mp3 Download 320Kbps For Free. Top Trending English Song Inauma Sung by Bien, Music by Bien & Lyrics Written By Bien Only On Filmisongs.

Inauma Full Song For Free
Singer | Bien |
---|---|
Music Composer | Bien |
Lyrics Writer | Bien |
Original Source | YouTube |
Released On | 10-15-2022 |
Inauma Mp3 Song Download
Inauma Lyrics
Kukosana na wewe sikutarajia
Kuwa mbali na wewe aki umeniacha pabaya
Kutengana na wewe imenibadilisha sana
Nimetamani nilewe aki nakunywa nasazamana
Naambia nini watu Regina
Haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tulipeana majina
Leo baby, kesho tomato
Mitandaoni ikaleta fitina
Ukawa huambiliki
Nami kichwa changu na kikavimba
Nikawasisemezeki...!
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea
Ndio nashindwa
Densi ooh densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane
Kesi ooh kesi, kesi tukakubali tutapendana milele
Nyimbo ooh nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
Kamisi ooh kamisi, kamisi na biker uliwacha nanusanga ndio nilale
Nitaambia nini watu Regina
Haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tukilabata na bia
Party after party
Shetani gani alituingilia
Akatuweka asander
Ilovito pahali imenifikisha
I'll never love another... Like!
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Ndio nashindwa
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Ndio nashindwa